Breaking News: Mwimbaji Chid Benz Akamatwa na Madawa ya Kulevya Airport
Kuna Taarifa kuwa Msanii Chid Benzi
amekamatwa na Madawa ya kulevya Airport Dar es Salaam ambapo alikuwa
anaelekea Mbeya Kufanya Show ya Instagram..Amekamatwa na Kete Kumi na
nne za madawa ya kulevya , pia na Bangi Misokoto miwili ambazo zilikuwa
katika mfuko wake wa Shati .
Chid alikuwa ameongoza na Mwanamuziki Sheta ambae yeye aliruhusiwa kuendelea na safari
Baada ya kuhojiwa inasemekana Chid
Alijitetea kwa kusema ni kwa ajili ya matumizi yake Binafsi , Chid kwa
sasa anashikiliwa na polisi kwa mahojiano zaidi...
CHANZO GLOBAL PUBLISHER