MWENYEKITI
wa Baraza la Wanawake Taifa (Bawacha) la Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (Chadema), Halima Mdee amewataka viongozi wa Chadema kwa mikoa
ya Kanda ya Ziwa kujiandaa kikamilifu kwa uchaguzi ujao wa Serikali za
Mitaa, akionesha wasiwasi wa viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
kucheza rafu katika uchaguzi huo
.
habarileo