Muigizaji Lynda Bellingham akitabasamu enzi za uhai wake.
Muigizaji na mtangazaji wa TV maarufu, Lynda Bellingham (66)
amefariki siku ya jana katika mikono ya mume wake Hospitali ya London.
Kifo chake kimesababishwa na kansa ya ini iliyomsumbua kwa muda mrefu.
Lynda Bellingham akiwa na rafiki zake.
Alizaliwa Mei 31, 1948 Montreal, Canada . Aliolewa mara mbili na ana
watoto wawili Michael Peluso, Robbie Peluso. Marehemu Lynda Bellingham
alibadilisha uraia na kuwa mwingereza baada ya kuolewapia alikuwa mchekeshaji, mkarimu na mwenye vipaji mbalimbali.
Lynda Bellingham akiwa na mumewe Michael.
Vipindi vya TV alivyoviendesha ni Faith in the Future, Second
Thoughts, At Home with the Braithwaites, Country House Sunday, n.k
Filamu alizocheza ni pamoja na The Romanovs: An Imperial Family