Tasnia ya filamu nchini huenda ikawa na mengi yanayofanyika nyuma ya pazia wakati wa majaribio ya kutafuta shots nzuri zenye uhalisia hasa kwenye scene za mapenzi!
Lakini napata kigugumizi kikali kwa kile kilichoonekana kwenye video
hii
inayoaminika kuwa ni kipande cha filamu mpya inayotarajia kutoka iliyowakutanisha Rich na Irene Uwoya ambao wanaonekana wakibadilishana mate kwa kiss za uweli.
inayoaminika kuwa ni kipande cha filamu mpya inayotarajia kutoka iliyowakutanisha Rich na Irene Uwoya ambao wanaonekana wakibadilishana mate kwa kiss za uweli.
Je, uhalisia huu kwenye filamu za Bongo unakubalika kimaadili? Bila
shaka haukubaliki hapa kwetu Tanzania. Bado hatuko huko Hollywood na
naamini kipande hicho kitatolewa.