tukio ziliopolewa maiti tatu siku yapili yapili zikapatikana maiti saba ila bado shuhughuli zauwokoaji bado zinaendelea kutokana nataarifa kua idadi yawatu waliyokuwemo kwenye chombo bado nikubwa tutaendelea kuwapatia kwani idadi yawatu waliuekuwemo bado haijajilikana taarifa
PICHA HABARI NA WAANDISHI WETU KHAMISS full Migebuka kigoma Pamoja na moses enossy kigoma