Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na kumkaribisha, Rais wa MMI Bingwa wa
Masuala ya Utawala na Uongozi kutoka Bahamas, Dkt. Myles Munroe, na ujumbe wake
wakati walipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, juzi Oktoba 20,
2014 akiwa na ujumbe wake na kufanya mazungumzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Rais wa MMI Bingwa wa Masuala ya Utawala
na Uongozi kutoka Bahamas, Dkt. Myles Munroe, wakati alipofika ofosini kwake
Ikulu jijini Dar es Salaam, juzi Oktoba 20, na kufanya mazungumzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa MMI Bingwa wa
Masuala ya Utawala na Uongozi kutoka Bahamas, Dkt. Myles Munroe, na ujumbe wake
baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akigana na Rais wa MMI Bingwa wa Masuala ya Utawala na
Uongozi kutoka Bahamas, Dkt. Myles
Munroe, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam. Picha
na OMR