Wakiwa
katika picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi huo wa njia mpya ya
shirika la ndege la Flydubai lenye makao yake makuu Dubai..
Mgeni
rasmi,Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano,Mh Samia Suluhu
akizungumza mapema leo katika uzinduzi wa njia mbili mpya za ndege ya FlyDubai
aina ya Boieng 737-800,uliofanyika katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa
wa Julius Nyerere,jijini Dar.
Makamu wa Rais mwandamizi katika shughuli za kibiashara wa shirika la ndege la FlyDubai ,Bwa.Sudhir Sreedharan
akizungumza mbele ya wageni waalikwa mbalimbali wakiwemo wana habari
kutoka vyombo mbalimbali (hawapo pichani) katika hafla fupi ya uzinduzi
wa njia mbili mpya za shirika la ndege hiyo kutoka Dubai kuja jijini Dar
es salaam na
Zanzibara (nchini Tanzania). Bwa.Sudhir amesema kuwa shirika hilo la
Flydubai liliingia katika soko la kibiashara kuanzia mnamo mwaka
12009,ambapo mpaka sasa wamefanikiwa kuongeza njia mpya sita (six new
routes ) .
Wageni waalikwa wakishangilia jambo.
Sehemu ya wageni waalikwa wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye tukio hilo .