Sio Bongo Tu Wasanii Wanatafuta Kiki Kwa
nguvu Mbali Hata Huko Marekani Wasanii Wanatafuta kiki Kila siku ili
Majina yao yabakie midomoni mwa Watu , Mwanamuziki Mkubwa Lady Gaga
Ambae amezoeleka kwa kuwa na
vituko vingi awapo jukwaani sasa
amehamishia vituko mtaani baada ya kunaswa akitembea akiwa amevaa
T-shirt tu bila nguo chini kitu kilichofanya watu kumshangaa kila
anapopita....
chanzo facebook