MY ADVERT EA SHOWBIZ

MY ADVERT EA SHOWBIZ

SIX OFFICE SOLUTION

MOCHRISPO

DARDY FASHION

Oct 4, 2014

NGIRI/HERNIA ni tatizo gani la kiafya?

NGIRI/HERNIA ni tatizo gani la kiafya?

Story Highlights

  • Ngiri, hernia, uvimbe
*****TAHADHARI —PICHA ZINAWEZA KUWA ZA KUOGOPESHA**********

Before I even try kuongelea juu ya hernia/Ngiri nataka kusisitiza kwamba imekuwa vigumu kufafanua kwa undani kuhusu Hernia/Ngiri kutokana na shida ya tafsiri ya maneno ya kisayansi kwenda kiswahili.
Anyways, hopefully nitakachoongelea kwa juu kita make sense kwa wale walio uliza juu ya tatizo hili la Ngiri(uvimbe).
Kwa kuanza basi, Ngiri sio ugonjwa ila ni tatizo la kiafya linalo tokea panapokuwa na shimo ndani ya sehemu fulani fulani katika mwili. Kuna Ngiri/hernia za aina tofauti. Mfano; Hernia nyingi hutokea sehemu za chini ya kitovu, ijapokuwa nyingine huweza kutokea pembeni/kwa chini ya sehemu za siri za mwanaume (makende). Na inategemea na ukubwa wa uvimbe huu (ngiri/hernia) mara nyingi hutibika kwa kufanyiwa opereshen.
Well, kama tunavyojua…”A PICTURE IS WORTH A THOUSAND WORDS” Nime compile picha mbalimbali ili kuelezea tatizo la NGIRI/HERNIA vizuri.
google images
google images 1
picha ya kwanza inaonyesha “Abdominal wall/cavity” sehemu ambayo mara nyingi utumbo ndo unatumbukia na ku-form hernia/ngiri.
images-71images-73
picha ya pili inaonyesha jinsi utumbo ukidumbukia kwenye shimo lililo tokea pale “abdominal wall” inapo  chanika/tear apart. Utumbo unavyozidi kujaa kwenye hili shimo (abdominal cavity) ndo unaform edha uvimbe (ngiri/hernia) ndogo ama kubwa.
images-72
google images
images-81

picha ya tatu juu, inaonyesha aina nyingine ya hernia/ngiri. Hii ni ngiri/hernia inayo tokea sana wanaume na uvimbe kuning’inia katikati ya uume na paja kama ilivyoonyeshwa hapo juu.
images-74
google images
google images
google images
hii ni hernia/ngiri ya kitovu. mara nyingi watoto wengi wanakuwa na kitovu kilicho vimba.
images-76
google images
hearnia/ngiri pia huweza kutokea sehemu kama za kifuani kutokana na kukohoa sana/kupiga chafya sana/kuvuta sigara/etc.
images-77
google images
mfano huo hapo juu ni hernia/ngiri ya kifuani.

Kuna aina mbili za kuondoa hernia/ngiri . Kama uvimbe ni mdogo sana operesheni inakuwa ndogo kama inavyoonyeshwa hapo chini. Inaitwa Laparoscopic op. Kwamba wanaingiza hiyo tool ya laparoscope na kuikata hernia na kufix ndani kwa ndani. Whereas, kama uvimbe ni mkubwa mfano wa picha ya pili chini, basi operesheni inabidi iwe kubwa.

images-78
google images
images-80
google images
Tatizo hili linatokana na nini?
Ngiri/hernia husababishwa na mambo kadhaa ikiwapo; misuli ya mwili haswa eneo la tumboni kuwa hafifu/weak. Kutokujifunga kwa “abdominal wall” kwenye tumbo, umri, kukohoa kusiko kwisha (yaani chronic), uzito wa kupita kiasi, wakati mwingine ile -strain mwili unapata kutokana na mama kujifungua pia inaweza kumsababishia mama kupata hernia, kuwa na matatizo ya choo kikubwa kigumu kila mara, kubeba mavyuma mazito na kama mtu amekuwa damaged wakati wa operesheni (yoyote ile ya maeneo ya kifuani hadi chini ya tumbo). Uvimbe huu huweza kutokea mara moja ama kwa kipindi cha mda mrefu. (kwa ufupi, hernia nyingi husababishwa na misuli kuwa strained/kupindwa/kuvutika sana).
Utagunduaje kuwa una Ngiri/Hernia?
Mara nyingi, kama uvimbe ni mkuwa mtu utagundua tuu. Lakini wakati mwingine ni mpaka mtu akienda kwa doctor kufanya kama physical checkup ndo doctor anakundua. Mtu mwenye ngiri mara nyingi hujisikia kuw mzito, kupata tabu kumeza chakula, hushindwa kuinama bila matatizo/kujisikia maumivu etc.
Kwa walio uliza juu ya Ngiri/Hernia. Natumaini umepata ufafanuzi wa kutosha. Maswali yanakaribishwa kama