Ona Hawa Askari Wawili Wanavyo lizalilisha Jeshi la Polisi..Kama si Maigizo Haya Basi Hawafai Kabisa Hawa
Hivi hii picha wanafanya kweli au wako
maigizo???? Yaan dah! Ukute hapo Wakisikia gari inakuja wanakurupuka
kuwahi barabarani kuomba rushwa na mikwara kibao. Wakubwa tunaomba
majina yao...
CHANZO UDAKU SPECIAL