MY ADVERT EA SHOWBIZ

MY ADVERT EA SHOWBIZ

SIX OFFICE SOLUTION

MOCHRISPO

DARDY FASHION

Oct 29, 2014

Shetta: Hatuwezi kumsaidia Chidi Benz kwa sasa, tuiachie mahakama

shettaa

Shetta amesema sio rahisi kwa sasa kumsaidia Chidi Benz kwakuwa suala lake lipo mahakamani. Chidi alikamatwa na madawa ya kulevya kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere wiki iliyopita wakati akielekea Mbeya.

Shetta alikuwa na Chidi Benz wakati
anakamatwa na walikuwa wakielekea Mbeya kwenye show.
“Hili suala tayari lipo mahakamani, sasa siwezi sema nifuatiliee moja kwa moja kwa sababu nilisikia leo ndo anapelekwa mahamakani. Kwahiyi sasa hivi hebu tuache kwanza mahakama ifanye kazi yake mambo mengine baadaye,” amesema Shetta.