wajanja wote ni siku ya tarehe 26 october 2014 katika uwanja wa TBC GARDEN hapa kutafanyika bonge la show kali itakafanywa na baadhi ya wasii wakubwa kuoka Tanzania Kenya na Uganda sio ya kukosa wajanja wote tujumuke na VJ BAVON yaani ni full shangwe!!!!!!!!!!!