kuwazibia njia rai wa mtaa wa budodi eneo la kiloleli kata ya nyamanoro jijini mwanza na ndipo hapo raia wameamua kuvunja msingi huo lakini hata maafisa ardhi walipofika walishindwa kutatua mgogoro huo na kujikuta wakiambulia patupu juu ya hasira za wananchi baada ya maafisa ardhi kuondoka ndipo raia wakachukua jukumu lao mkononi kuvunja ili njia ipitike.
vijana wakiwa na hasira kali ni vijana wa mtaa wa kiloleli jijini mwanza wakifukia msingi uliokuwa umejengwa na jamaa aliyeai kiwanja ni chake hivyo hakuna njia inayopita
mmiliki wa eneo hilo alipoitwa aje nyumbani kutatua mgogoro alikataa kutii wito na kukacha akidai yuko bize ofisini na majukumu hivyo aliomba wasivunje mpaka halmashauri ya jiji la mwanza waje wahakikishe eneo na vipimo sahihi la eneo hilo.
msingi utifuliwa
hapatoshi hapo nomaaaaaaaaaaaaaaaa
mjumbe wa mtaa akijaribu kuzungumza na vijana waliokuwa na jaziba juu ya uhuni uliofanyika kwa kitendo cha jamaa kujenga msingi kuziba njia