Ndege za kijeshi za Marekani zikirusha makombora kushambulia wanamgambo wa kundi la Islamic State katika mji wa Kabane, Syria.
Muonekano baada ya ndege za Marekani kutupa makombora.
Muonekano wa nchi ya Syria.
Marekani wameshambulia wanamgambo wa kundi la Islamic State katika
mji wa Kabane, Syria kwa makombora kwa kutumia ndege za kijeshi.
Mashambulizi hayo yamesababisha kuwarudisha nyuma wanamgambo hao.Marekani walituma ndege 135 kushambulia wanamgambo hao na kufanikiwa kuua mamia ya wapiganaji na kuharibu majengo. Ndege zote zilizoshambulia wanamgambo hao zimerudi salama Marekani. Mashambulizi hayo yalianza mwanzoni mwa Oktoba mwaka huu.