Baada ya mwanadada LULU kutupia picha yake mpya
kwenye mtandao akiwa amevaa cheni ama mkufu mpya shingoni mwake,
maswali kadhaa ya wadau yameanzaje kujitokeza kuhusu cheni hiyo pamoja
na maana yake.
Huku kukiwa bado kuna vuguvugu la ushindi wa Tshs. MILLIONI 500 za kijana Idris
toka jumba la BIG BROTHER na lulu akiwa ni mmoja wa watu wakubwa sana
waliokuwa wanawahimiza wananchi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na
mipaka yake kumpigia kura kijana huyu ili ashinde, maswali Kadhaa
yamejitokeza kuhusiana na mkufu huo ulioko kwenye shingo laini ya mrembo
LULU.
1. Swali kuu la kwanza?
Je, LULU kanununua mkufu wenye alama hiyo ili ufanane na ule wa
Idris aliyeshinda million 500? kama mpango yakinifu wa kujiweka karibu
na ‘Millionea’ huyo?
2. Swali kuu la pili?
Lulu kajiunga FREEMASONS? Mbona mkufu wake huo una alama zao zile zaoo?