Naweza sema kwa siku ya leo picha hii ndio iliyopata “comments” na “Likes” nyingi
zaidi kuliko picha zote zawaigizaji zilitupiwa leo mtandaoni. Nipicha
inayowajumuisha mastaa watatu ambao ni waigizaji wa filamu maarufu hapa
Bongo, amabao ni Kajala,Tausi na Wolper.
Mashakibi wengi wameonekana kivutiwa zaidi na picha hii kwani ndani
ya muda mfupi picha hizi zilipata Likes zaidi ya elfu tano na comment
zaidi ya mia tatu.
Wote kwapamoja, Kajala na Wolper waliziweke picha hizi kwenye kurasa
za instagram. Kitu kilichowapa fursa wadau na mashabiki kuongea kile
walichokiona juu ya picha hizi, lakini wengi walisema wamependeza
sana,na wengine wakitaka waunde TEAM……hehehe. Hivyo nikaona sio mbaya
nizilete hapa na wewe ufunguke kile unachikiona kwenye picha hizi.