Askari hao wakitembelea maabara ya kiwanda hicho Wakiwa katika moja ya mitambo ya kutengenezea bia
Wanajeshi kutoka Chuo cha Jeshi Kenya, wakitembelea Kiwanda cha Bia cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam jana, wakiambatana na maofisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ). |
Oriyo akielezea mafanikio ya TBL na jinsi kampuni hiyo inavyoongoza katika pato la Taifa |
Meneja wa Kiwanda cha Bia cha TBL Dar es Salaam, Calvin Martine akimkabidhi zawadi Ofisa wa Jeshi la JWTZ, aliyeongoza ujumbe huo, Brigedia Jenerali Dominic Mrope |
Martine akimkabidhi zawadi Ofisa kutoka Ofisi ya Rais Mipango na Ugatuzi, Purity Masikombe |
Ujumbe huo ukitembelea idara ya ujazaji bia kwenye chupa na makopo |
Viongozi wa TBL wakiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa wanajeshi hao