Waziri
Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akizungumza katika Kanisa la Kiinjili la
Kilutheri Tanzania la Mwanakwerekwe, mjini Unguja, Zanzibar
alipohudhuria ibada ya Skukuu ya Krismasi jana. Kulia ni Mchungaji wa
Kanisa hilo, Philip Mvungi.
Ibada ikiendelea katika
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania la Mwanakwerekwe, mjini
Unguja, Zanzibar,ambapo Mh.Lowassa na familia yake walihudhuria ibada ya
Sikukuu ya Krismasi leo.
Waziri
Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa na mkewe Regina wakiwa na mjukuu wao,
Angelica Freddy wakisoma Biblia katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri
Tanzania la Mwanakwerekwe, mjini Unguja, Zanzibar walipohudhuria ibada
ya Skukuu ya Krismasi leo.
Waziri
Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa na mkewe Regina wakiwa na mjukuu wao,
Angelica Freddy katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania la
Mwanakwerekwe, mjini Unguja, Zanzibar walipohudhuria ibada ya Sikukuu ya
Krismasi leo.