MY ADVERT EA SHOWBIZ

MY ADVERT EA SHOWBIZ

SIX OFFICE SOLUTION

MOCHRISPO

DARDY FASHION

Dec 13, 2014

MAHAFALI YA KWANZA CHUO CHA Ruter Institute of Financial Management YAFANA JIJINI MWANZA

 Mkurugenzi mtendaji  wa chuo cha Rutta Institute Bw. Walter Lema kulia akiwa amevalia joho akiongoza mahafari ya chuo chake yaliyofanyika buzuruga Plazza Jijini mwanza.

Chuo cha Rutta Institute chenye makao makuu yake jijini mwanza kinatoa mafunzo kwa masomo ya biashara kwa ngazi zote  Cheti {certificate} Shahada {Diploma} na ngazi zingine zitolewazo na vyuo vikuu vishiriki hapa tanzania na nje ya Tanzania chuo hiki kimeanzishwa mnamo mwaka 2010 kwa lengo la kukuza taasisi za masomo ya biashara kwa nchi ya tanzania.



 Mgeni Rasmi Chief Sosoma akiwahutubia wanafunzi katika mahafari yaliyofanyika jijini mwanza ndani ya buzurugaplazza

 wahitimu ngazi ya Diploma wakiwa katika picha ya pamoja wakiwa wamevalia majoho

 mkurugenzi mtendaji wa chuo cha Rutta Institute Bw. walter Lema akipata picha ya ukumbusho na mmoja wa wanafunzi wake waliohitimu katika chuo hicho cha masomo ya biashara

 picha ya pamoja 

picha ya pamoja Staff na wahitimu wa chuo cha Rutta