msanii kajala akiwa ameshika kopo la soda ya coca cola yenye jina lake la Kajala
wigizaji wa filamu mwenye sura ya upole na umbo la Kiafrika, Kajala Masanja ni moja kati ya watu ambao majina yao yataonekana kwenue makopo mapya ya kinywaji cha Coca-cola.
Wakimtembelea nyumbani kwake, wawakilishi wa coca-cola walimtembelea nyumbani kwa Kajala na kumpatia zawaidi ya kinywaji hicho kikiwa kwenye chupa yenye jina lake.
Endelea kuwa nasi kujua kinanani wengine wamebahatika kwenye hili.