Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, vijana , utamaduni na Michezo Prof.
Elisante Ole Gabriel akifafanua jambo wakati alipokutana na Balozi wa
Tanzania nchini Nigeria Mhe. Balozi Ole Njoolay kuhusu ushirikiano baina
ya Tanzania na Nigeria katika sekta ya Filamu na Vijana
Mheshimiwa
Balozi wa Tanzania Nchini Nigeria Balozi Ole Njoolay (kushoto) akiwa
ameshika zawadi ya kinyago aliyopewa na Mheshimiwa Naibu Katibu Mkuu
Prof. Elisante Ole Gabriel Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na
Michezo ili kudumisha ushirikiano baina ya Tanzania na Nigeria katika
sekta ya Filamu na Vijana
Mheshimiwa
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana ,Utamaduni na Michezo wa
Mheshimiwa Prof. Elisante Ole Gabriel wa pili kutoka kulia akiwa katika
picha ya pamoja na Mheshimiwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria. Mhe.
Balozi Ole Njoolay Viongozi hao waliongea kuhusu kudumisha ushirikiano
katika sekta ya Filamu na Vijana .Kutoka kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa
Maendeleo ya Vijana James Kajugusi na wa kwanza kushoto ni Katibu
Mtendaji wa Bodi ya Filamu Joyce Fisso Picha na Benjamin Sawe, WHVUM
na JIACHIE BLOG