Naibu Waziri wa Ardhi Makaazi Maji na Nishati Haji Mwadini Makame
akifungua kitambaa kuashiria Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Kituo cha
Polisi mbweni nje ya mji wa Zanzibar ikiwa ni Shamra shamra za kutimia
miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Vijana wadogo kutoka katika kituo cha Nyerere Shaolin Group wakionyesha
umahiri wa kuweza kupambana na uhalifu katika sherehe za Uwekaji wa jiwe
la Msingi la Kituo cha Polisi mbweni nje ya mji wa Zanzibar ikiwa ni
Shamra shamra za kutimia miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
-Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamdani Omar akitoa maelezo kuhusiana na
Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Kituo cha Polisi mbweni nje ya mji wa
Zanzibar ikiwa ni Shamra shamra za kutimia miaka 51 ya Mapinduzi ya
Zanzibar.
Katibu Mkuu Wizara ya mambo yandani Mbaraka Abdullwakili akitoa hotuba
na kumkaribisha mgeni rasmi katika Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Kituo
cha Polisi mbweni nje ya mji wa Zanzibar ikiwa ni Shamra shamra za
kutimia miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Naibu Waziri wa Ardhi Makaazi Maji na Nishati Haji Mwadini Makame
akitoa hotuba katika Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Kituo cha Polisi
mbweni nje ya mji wa Zanzibar ikiwa ni Shamra shamra za kutimia miaka 51
ya Mapinduzi ya Zanzibar.kushoto yake ni Katibu Mkuu Wizara ya mambo
yandani Mbaraka Abdullwakili na kulia ni Kamishna wa Polisi Zanzibar
Hamdani Omar.
Naibu Waziri wa Ardhi Makaazi Maji na Nishati Haji Mwadini Makame
akimkabidhi Mwalimu Khamis Omar ambae ni mkufunzi wa Vijana wa Nyerere
Shaolin Group jumla ya shi,Laki Mbili ikiwa ni mchango wake kwa vijana
hao waweze kutatua matatizo yao.
Naibu Waziri wa Ardhi Makaazi Maji na Nishati Haji Mwadini Makame
katikati akiwa katika Picha ya pamoja na Viongozi wa Jeshi la
Polisi katika Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Kituo cha Polisi mbweni nje
ya mji wa Zanzibar ikiwa ni Shamra shamra za kutimia miaka 51 ya
Mapinduzi ya Zanzibar.PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.