Filamu hii pamoja na kuchezwa siku nyingi bado watu wanaikumbuka
sana.na wengine wanauliza yuko wapi Regima.Jerusalem itawaletea movie
yake myingine ambayo alicheza na Marehemu Adam kuambiama mara baada ya
kutoka filamu ya mvuvi chale.Asanteni kwa kupenda movie zetu”.
Hayo ndio maelezo ya JB ambae ndio mkurugenzi wa kampuni ya Jerusalem.
na BONGO MOVIES.COM