Jumla ya wahudumu na askri wa jeshi la uingereza walipoteza maisha katika vita ya Afghanstan inasemekena ni jumla ya watu 453 taafira hii imetolewa na wizara ya ulinzi uingereza. kwa mujibu wa waziri wa linzi amesema askari na baadhi ya wahudumu walioenda kuhudumia huko nchini afghanstan walipoteza maisha na kumbukumbu yao ilihifadhiwa na sekretarieti ya ulinzi picha hizi zimetolewa leo mapema wakati nchi ya kiflame ikadhimisha siku ya mashujaa wa vita huko afighanstan.