Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Waziri Mkuu wa Misri, Ebrahim Mehlep, wakati
alipowasili kwenye Uwanja wa ndege wa Sharm El- Sheikh, kwa ajili ya
kuhudhuria Mkutano wa Kimataifa kuhusu maendeleo na Uchumi wa nchini
Misri.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiongozana na mwenyeji wake, Waziri Mkuu wa Misri, Ebrahim Mehlep,
wakati alipowasili kwenye Uwanja wa ndege wa Sharm El- Sheikh, jana kwa
ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Kimataifa kuhusu maendeleo na Uchumi wa
nchini Misri. Picha na OMR