MY ADVERT EA SHOWBIZ

MY ADVERT EA SHOWBIZ

SIX OFFICE SOLUTION

MOCHRISPO

DARDY FASHION

Mar 11, 2015

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA SIKU MBILI WA NCHI ZA AFRIKA KUANZISHA MAFUNZO YA MAFUTA NA GESI KATIKA VYUO VYA UFUNDI STADI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Mohamed Gharib Bilal (wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mhadhiri wa chuo kikuu cha Dar es salaam,Profesa Hudson Nkotagu kuhusu uzalishaji wa Digrii 4 zinazozalishwa chuo kikuu cha Dar es Salaam,wakati wa Mkutano wa Jitihada za Nchi za Afrika za kuzalisha mafuta na Gesi Katika Vyuo vya mafunzo Stad,uliofanyika leo kwenye ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Julias Nyerere Jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Mohamed Gharib Bilal akipata maelezo kutoka kwa Afisa wa Chuo cha Ufundi (VETA) wakati alipotembelea kwenye banda la veta wakati wa Mkutano wa jitihada ya Nchi za Afrika za Kuanzisha Mafunzo ya Mafuta na Gesi katika Vyuo vya Ufundi Stadi,Mkutano uliofanyika kwenye Ukumbi wa Mwelim Nyerere Jijini Dar es Salaam leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Mohamed Gharib Bilal akifungua Mkutano wa siku mbili kuhusu jitihada za chi za Afrika za kuanzisha Mafunzo ya Mafuta na Gesi katika Vyuo vya Ufundi Stadi, Mkutano huo uliofanyika kwenye Ukumbi wa Julias mwalim Nyerere Jijini Dar es Salaam leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Mohamed Gharib Bilal akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa Mkutano wa siku mbili kuhusu jitihada za chi za Afrika za kuanzisha Mafunzo ya Mafuta na Gesi katika Vyuo vya Ufundi Stadi, Mkutano huo uliofanyika kwenye Ukumbi wa Julias mwalim Nyerere Jijini Dar es Salaam leo