Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi Mteule wa Japan Nchini
Tanzania, Mhe. mashiro Yoshida kwenye Hoteli ya New Otani jijini Tokyo
Machi 13, 2015 ambako Machi 14, 2015 anatarajiwa kumwakilisha Rais
Jakaya Kikwete katika Mkutano Kuhusu namna ya kukabiana na maafa
utakaofanyika Sendai.Katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili
wa Rais Zanzibar,Mohamed Aboud Mohamed
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na Ujumbe wake wakizungumza na Balozi Mteule wa
Japan Nchini Tanzania, Mhe. Masahiro Yoshida kwenye Hoteli ya New Otani
jijini Tokyo Japan Machi 13, 2015 ambako Machi 14, 2015 anatarajiwa
kumwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika Mkutano Kuhusu namna ya
kukabiliana na maafa utakaofanyika Sendai.
Mke wa
Waziri Mkuu, mama Tunu Pinda (kushoto) akizungumza ujumbe kutoka
Shirika lisilokuwa la kiserikali la Women's Federation for World Peace
la Umoja wa Mataifa (WFWP) kwenye hoteli ya New Otani jijini Tokyo Mchi
13, 2015 ambako amefuatana Mheshimiwa Waziri Mkuu kumwakilisha Rais
Jakaya Kiwete kwenye mkutano kuhusu namna ya kushughulikia maafa
unaotarajiwa kufanyika Sendai Machi 14, 2015. Kutoka kushoto ni Chieko
Sasamoto na Yoko Shima .
Mke wa
Waziri Mkuu, mama Tunu Pinda (kushoto) akizungumza ujumbe kutoka
Shirika lisilokuwa la kiserikali la Women's Federation for WOrld Peace
la Umoja wa Mataifa (WFWP) kwenye hoteli ya New Otani jijini Tokyo Mchi
13, 2015 ambako amefuatana Mheshimiwa Waziri Mkuu kumwakilisha Rais
Jakaya Kiwete kwenye mkutano kuhusu namna ya kushughulikia maafa
unaotarajiwa kufanyika Sendai Machi 14, 2015. Kutoka kushoto ni Chieko
Sasamoto, Yoko Shima na Mutsako Setomoto.
Mke wa
Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akiwa katika picha ya pamoja ujumbe
kutoka Shirika lisilokuwa la kiserikali la Women's Federation for World
Peace la Umoja wa Mataifa (WFWP) kwenye hoteli ya New Otani jijini
Tokyo Mchi 13, 2015 ambako amefuatana na Mheshimiwa Waziri Mkuu
kumwakilisha Rais Jakaya Kiwete kwenye mkutano kuhusu namna ya
kushughulikia maafa unaotarajiwa kufanyika Sendai Machi 14, 2015.
Kutoka kushoto ni Mutsako Setomoto, Chieko Sasamoto, Yoko Shima na
Kazunori Arase.