MFUKO
wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umeshiriki kwenye Mbio za nyika za
zinazoendelea kuwa maarufu mwaka hadi mwaka Kilimanjaro ambazo
zimefanyika kwa mwaka wa 13 mfululizo.
NSSF ilishiriki ikiwa kama mdhamini wa mbio za KM 5 ambazo
zilishirikisha washiriki zaidi ya 3500. Pamoja na udhamini huo NSSF
ilipata nafasi ya kutoa elimu kwa wakazi mbalimbali wa Mkoa wa
kilimanjaro walioshiriki na kutembelea kwenye banda lao.