Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa
Elimu na Ufundi Mhe. Anne Kilango Malecela, Mkuu wa Kanisa la Kiinjili
la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dr Alex Gehaz Malasusa, Mwenyekiti wa
Harambee hiyo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Bw.
Nehemia Mchechu na wachangiaji wakubwa katika harambee hiyo
iliyofanyika usiku huu katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es
salaam ambapo jumla ya shilingi bilioni 1.6 kati ya shilingi bilioni 2
zinazohitajika zilipatikana. Michango hiyo ni ya kufanikisha upanuzi wa
chuo hicho katika awamu ya pili.
Rais
Kikwete katika picha ya pamoja na wakuu wa majimbo ya KKKT, Wachungaji,
Wainjilisti na wafanyakazi wa Parish na viongozi wengine
Rais
Kikwete katika picha ya pamoja na wakuu wa majimbo ya KKKT, Wachungaji,
Wainjilisti na wafanyakazi wa Parish na viongozi wengine
Rais Kikwete akipongezwa kwa kufanikisha harambee hiyo