“Leo nilikuwa na kikao na wanachuo cha Dar-es-salaam University college of Education (DUCE) nitashirikiana nao katika kutengeneza movie iitwayo maisha ya chuo mwezi wa tisa , hapa ni baada ya kumaliza kikao”- JB aliandika mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu.
Kila la kheri JB,wadau wanategemea makubwa kutoka kwako.
Mzee wa Ubuyu
na Bongomovies.com