Akizungumza na mwahabari wa GPL, Thea alisema kipindi cha nyuma wasanii walikuwa waipenda sana kuwa na kundi moja wakakaa pamoja na kuelewana lakini kukatokea kitu ambacho mpaka leo hakieleweki wakasambaratika.
“Naamini kuna vitu tulikosea, tunateseka kweli. Tunatakiwa kabisa kumrudia Muumba wetu kwa kuwa hakuna cha Bongo Movies wala nini na ninaona inaelekea kufa kabisa lazima tukae na kujikagua upya,” alisema Thea.
chanzo bongomovies.com