Riyama ametobao hilo mtandao mara baada ya kubandika picha hiyo hapo juu akiwa mzigoni na kuandika haya.
“Kazini najichekesha tu ila nimechoka hoi wallah Dah........ HATARIIIIII
Halafu unamalizia kushuti prodiucer ana kwambia Pesa hajatumiwa ktk Tigo Pesa mtandao unanasumbua hapo ushakaa kambini wiki moja nyumbani wanajua upokazini unarudi unakuta home wana kungoja wewe....... unawatia sound Dah inaumiza kwakweli imekua kama fashion kwa baadhi ya waandaji imenikuta kwa waandaji kama nne tubadilike tunarudishana nyuma ndugu zangu..........”
Hakika kila kazi inachangamoto zake.
habari na bongomovies.com