Muongozaji wa sanaa za filamu Tanzania nisha amesema filamu yake mpya ijulikanyo kwa jina la MTAA KWA MTAA itakuwa sokoni muda si mrefu.nisha ameimbi blog hii kuwa filamu hii itakuwa ndio filmu yake ya kwanza ya kuwafanya watu wajisikie vizuri sana maana amongeza manjonjo mengi sana na wachekesha kibao wamo ndani ya filmu hii mpya.
nisha akiwa na wasanii wengine wa maigizo na filamu wakati wa kuandaa filamu hii mpya