
Mwakilishi wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania {
RED CROSS } Bwana Shaaban Ali Iddi akikabidhi msaada wa Viatu Pair 90 kwa
Katibu wa Kamati ya Taifa ya Kukabiliana na Maafa Zanzibar Dr. Khalid Salum
Moh’d kwa ajili ya watoto wa familia zilizopata maafa ambao wapo Kambini Skuli ya mwanakwerekwe “C”.
Katibu wa Kamati ya Taifa ya Kukabiliana na Maafa Zanzibar Dr.
Khalid Salum Moh’d akiushukuru Uongozi wa Red Cross kwa misaada yao ya Kibinaadamu
waliyotoa kwa ajili ya familia zilizopatwa na maafa wiki iliyopita.
Uongozi wa Chama cha Msalaba mwekundu Tanzania ukimsikiliza Katibu wa
Kamati ya Taifa ya Kukabiliana na Maafa Zanzibar Dr. Khalid Salum Moh’d hayupo
pichani akitoa nasaha zake baada ya kupokea msaada uliotolewa na Uongozi huo.