Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Mussa
Iyombe akikagua maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Kolo katika Barabara ya Dodoma-Babati
sehemu ya Mela-Bonga.
Mwandisi
Mkazi katika mradi wa Barabara ya Dodoma-Babati sehemu ya Mayamaya-Mela, Eng.
Emeterio Onias wapili kutoka kulia akimpa maelekezo Katibu Mkuu wa Wizara ya
Ujenzi Eng. Mussa Iyombe kuhusu ujenzi wa Barabara hiyo.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Mussa Iyombe katikati akitoa maelekezo kwa
Mkandarasi anayejenga barabara ya Dodoma-Babati sehemu ya Dodoma-Mayamaya.
Ujenzi ukiendelea katika daraja la Kolo.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Mussa Iyombe akiwa na baadhi ya wahandisi
akikagua Makalavati katika Barabara ya Dodoma-Babati sehemu ya Mayamaya-Mela
Ujenzi
wa barabara ya Mela-Bonga ukiendelea kwa kasi.Picha na Maelezo kwa Hisani ya Kitengo cha Mawasiliano-Wizara ya Ujenzi.
chanzo michuzi media