Makamu Mwenyekiti wa
Chadema, Profesa Abdallah Safari (kushoto) akipokea fomu kutoka kwa
Waziri Mkuu wa Zamani, Edward Lowassa.
Ester Bulaya (wa kwanza kushoto
waliovaa fulana) akiwa ukumbini kumshuhudia Edward Lowassa akirudisha
fomu ya kugombea urais ndani ya chama.
Wanachama wa Chadema wakimkaribisha Edward Lowassa kwa mabango wakati anarudisha fomu ya kugombea urais ndani ya chama.
Edward Lowassa akiwasili Makao
Makuu kurudisha fomu za kuomba kugombea urais ndani ya chama, kushoto
kwake ni Alfred Lwakatare, mkuu wa usalama wa chama.