Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akiweka saini hati ya Muswada wa Sheria ya Mafuta na Gesiasilia Jumanne,
Agosti 4, 2015 katika Ukumbi mpya wa Ikulu, Dar Es Salaam akishuhudiwa na
Waziri wa Nishati na Madini Mhe George Simbachawene na Katibu Mkuu wa Wizara
hiyo Mhandisi Ngosi Mwihava
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini hati ya
Muswada wa Usimamizi wa Mapato ya Mafuta na Gesiasilia Jumanne, Agosti 4, 2015 katika
Ukumbi mpya wa Ikulu, Dar Es Salaam akishuhudiwa na Waziri wa Nishati na Madini
Mhe George Simbachawene na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Mhandisi Ngosi Mwihava.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akigonga muhuri wake hati
ya Muswada wa Sheria ya Mafuta na Gesiasilia Jumanne, Agosti 4, 2015 katika
Ukumbi mpya wa Ikulu, Dar Es Salaam akishuhudiwa na Waziri wa Nishati na Madini
Mhe George Simbachawene na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Mhandisi Ngosi Mwihava.
Rais Kikwete akipeana mikono na Waziri wa Nishati na
Madini Mhe George Simbachawene baada
ya kuweka saini kuridhia Muswada wa Sheria ya
Mafuta na Gesiasilia Jumanne, Agosti 4, 2015 katika Ukumbi mpya wa Ikulu, Dar
Es Salaam.
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akipeana mikono na Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya baada ya kuweka saini
kuridhia Muswada wa Usimamizi wa Mapato ya Mafuta na Gesiasilia Jumanne, Agosti
4, 2015 katika Ukumbi mpya wa Ikulu, Dar Es Salaam.
Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akipeana mikono na Katibu Mkuu Waziri wa Fedha Dkt. Servacius Likwelile
baada ya kuweka saini kuridhia Muswada wa Usimamizi wa Mapato ya Mafuta na
Gesiasilia Jumanne, Agosti 4, 2015 katika Ukumbi mpya wa Ikulu, Dar Es Salaam.
: Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akiweka saini kuridhia Muswada wa Tume ya Walimu Jumanne, Agosti
4, 2015 katika Ukumbi mpya wa Ikulu, Dar Es Salaam akishuhudiwa na Dkt. Shukuru
Kawambwa ambaye ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Katibu Mkuu wa
Wizara hiyo Profesa Sifuni Mchome
: Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akipeana mikono na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru
Kawambwa baada ya kuweka saini kuridhia Muswada wa Tume ya Walimu Jumanne,
Agosti 4, 2015 katika Ukumbi mpya wa Ikulu, Dar Es Salaam kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Profesa Sifuni Mchome.
Rais
Jakaya Mrisho
Kikwete akipeana mikono na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya
Ufundi Profesa Sifuni Mchome baada ya kuweka saini kuridhia
Muswada wa Tume ya Walimu Jumanne, Agosti 4, 2015 katika Ukumbi mpya wa
Ikulu,jijini Dar.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt. Mohamed Gharib Bilali, Katibu Mkuu
Kiongozi Balozi Ombeni Sefue katika picha ya pamoja na Mheshimiwa George
Simbachawene, Waziri wa Nishati na Madini, Mheshimiwa Saada Mkuya, Waziri wa
Fedha na Mhe. Dkt. Shukuru Kawambwa, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi baada ya
hafla ya kuweka saini na kuridhia miswada ya Sheria ya Mafuta na Gesiasilia, Muswada wa
Uwazi na Uwajibikaji, Muswada wa Usimamizi wa Mapato ya Mafuta na Gesiasilia,
Muswada wa Masoko ya Bidhaa na Muswada wa Tume ya Walimu.
PICHA NA
IKULU