Ofisa Masoko wa Benki ya Exim Tanzania tawi la Moshi, Bi. Elihaika Munuo (wa pili kulia), akikabidhi zawadi ya IPhone
6 kwa mshindi wa droo ya pili ya kampeni ya Akaunti ya Malengo ya Dola
za Kimarekani inayoendeshwa na benki hiyo, Bw, Rajnikant Shah, katika
hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika tawi la benki ya hiyo Manispaa
ya Moshi mwishoni mwa wiki.Wanaoshuhudia ni Meneja wa benki hiyo tawi la
Moshi Bw. John Ngowi(kushoto) na Ofisa Uhusiano wa benki hiyo tawi la
Moshi Philip Mtei (kulia).