![]() |
WanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa katika mkutano wa kampeni uliofanyika Wilaya ya Kisarawe, ambapo mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi, Samia Suluhu (hayupo pichani) alihutubia. |

Kikundi cha akinamama wajasiliamali na utamaduni kutoka Temeke kikitoa burudani kwa umati na mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, katika mkutano wa kampeni uliofanyika Wilaya ya Kisarawe. |
![]() |
Mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi, Samia Suluhu (kulia) akizungumza jambo na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Pwani, Subira Mgalu katika mkutano wa kampeni uliofanyika Wilaya ya Kisarawe leo. |