Malkia Ezalibeth wa pili amekuwa malkia wa Uingereza aliyedumu kwenye kiti hicho kwa miaka mingi zaidi kuliko woteMalkia Elizabeth mwenye umri wa miaka 89 amekuwa kwenye kiti hicho kwa miaka 63 na miezi saba. Hiyo ni sawa na siku 23,226.
Malkia alizungumza kwa ufupi mbele ya umati wa watu baada ya kuvunja rekodi ya bibi kizaa bibi yake Queen Victoria.
source: Bongo5