MY ADVERT EA SHOWBIZ

MY ADVERT EA SHOWBIZ

SIX OFFICE SOLUTION

MOCHRISPO

DARDY FASHION

Sep 9, 2015

Diamond awa mwanamuziki wa kwanza Bongo kuwa na followers milioni 1 kwenye Instagram


Insta D
Diamond Platnumz amekuwa muimbaji wa kwanza kutoka Tanzania kuwa na followers milioni moja kwenye mtandao wa Instagram. Anakuwa staa wa pili anayeishi Tanzania kufikisha idadi hiyo ya followers baada ya msanii wa make-up raia wa Macedonia anayeishi Dar es Salaam tangu mwaka 2005, Maya Mia.

11373606_941126935945119_886101444_n
Maya Mia ni msanii wa make-up anayeishi Mbezi Beach, Dar es Salaam tangu mwaka 2005. Ana followers milioni 1.6 kwenye mtandao wa Instagram

Insta Maya
Ukimtoa Lupita Nyong’o anayetokea nchini Kenya ambaye kwa sasa makazi yake yamehamia Marekani na mwenye followers milioni 1.7, ni Davido ndiye aliyekuwa staa wa kwanza wa Afrika kuwa na followers milioni moja akifuatiwa na Wizkid.

credit:Bongo5