MY ADVERT EA SHOWBIZ

MY ADVERT EA SHOWBIZ

SIX OFFICE SOLUTION

MOCHRISPO

DARDY FASHION

Sep 9, 2015

Diamond, Wizkid, Sarkodie, Mafikizolo, Yemi Alade na wengine warekodi wimbo wa ‘United Nations Global Goals campaign’


wizkid,sarkodie,yemi,diamond
Diamond Platnumz amepata nafasi nyingine ya kushirikiana na mastaa mbalimbali wa Afrika akiwemo Wizkid wa Nigeria, kurekodi wimbo wa kampeni ya Umoja wa mataifa, ‘United Nations Global Goals campaign’. Hit maker huyo wa ‘Nana’ na Wizkid wameungana na wanamuziki wengine wakubwa wa Afrika kama Yemi Alade (Nigeria), rapper Sarkodie (Ghana), kundi la Mafikizolo (South Africa), Sauti Sol (Kenya), Becca (Ghana) na Toofan (Togo).
Maproducer ambao wameshiriki kutengeneza wimbo huo ni Cobhams Asuquo (Nigeria), David KING DAVID Muthami (Kenya) na Ellputo (Mozambique).

credit: Bongo5