Msimu huu, Kwetu
House inasaka zaidi shabiki inakwenda mbali Zaidi na kusaka shabiki wa kweli
lakini pia mwenye kipaji.Safari inaendelea
Baada ya Audition kumalizika na Bootcamp pia Washiriki 30 waliingia kwenye
Nyumba na baada ya Mchujo tena Washiriki 10 waliaga Mashindano haya na kuwapa
Fursa washiriki 20 kutoka kwenye mikoa 6 ya Tanzania kuendelea na Mshindano.