Picha
ya aliyekuwa Mgombea wa Udiwani kata ya Muleba kwa tiketi ya chama cha
CCM,enzi za uhai wake,aliyefarika jana kwa ajali ya Piki Piki
Mgombea
Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akitoa maneno ya pole kwa ndugu
jamaa na marafiki leo asubuhi nyumbani kwa aliyekuwa Mgombea Udiwani wa
Kata ya Muleba,Marehemu Osward Peter Rwakabwa katika kijiji cha
Kagabilo,Muleba mkoani Kagera.
Mgombea
Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwasili kutoa pole nyumbani kwa
aliyekuwa Mgombea Udiwani wa Kata ya Muleba kwa chama cha CCM,Marehemu
Osward Peter Rwakabwa katika kijiji cha Kagabilo,Muleba mkoani Kagera
Mgombea
Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwapa mkono wa pole ndugu jamaa
na marafiki leo asubuhi nyumbani kwa aliyekuwa Mgombea Udiwani wa Kata
ya Muleba,Marehemu Osward Peter Rwakabwa katika kijiji cha
Kagabilo,Muleba mkoani Kagera,aliyefarika jana kwa ajali ya Piki Piki
Baadhi
ya Ndugu Jamaa na Marafiki wakiwa wamekusanyika nyumbani kwa marehemu
Osward Peter aliyefarika jana kwa ajali ya piki piki,Wakiomboleza
kufuatia msiba huo.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI-AMEN
PICHA NA MICHUZI JR-MULEBA,KAGERA.