Rais Jakaya Mrisho kikwete akitembezwa na Mkurugenzi Mkuu wa
kampuni ya umeme ya Symbion Bw. Paul Hicks kwa mmoja wa wasimamizi wa
mradi huo wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wakituo cha
kisasa cha Michezo kwa vijana cha Kidongo Chekundu jijini Dar es salaam
leo Septemba 16, 2015. Kituo hicho kinajengwa kwa msaada wa Klabu ya
Sunderland
ya Uingereza na kampuni ya symbion
Rais Jakaya Mrisho kikwete akitembezwa na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya
umeme ya Symbion Bw. Paul Hicks kwa kocha wa vijana wa kandanda mwenye kutambulika
na FIFA kutoka Uingereza wa mradi huo wakati akikagua maendeleo ya
ujenzi wa kituo cha kisasa cha Michezo kwa vijana cha Kidongo Chekundu
jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015. Kituo hicho kinajengwa kwa
msaada wa Klabu ya Sunderland ya Uingereza na kampuni ya symbion.
PICHA NA MICHUZI