Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi terminal ya mbole ya
kampuni ya Norwaya ya YARA Kurasini jijini Dar es salaam leo Septemba
16, 2015. Kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Ummy Mwalimu Mama
Monica Maeland, Waziri wa Biashara na Viwanda wa Norway. Kutoka kushoto
ni Mwakilishi wa YARA nchini Bw. Alexandre Macedo na Rais na Mtendaji
Mkuu wa YARA Bw. Svein Tore Holsether
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi terminal ya mbolea
ya kampuni ya Norwa ya YARA Kurasini jijini Dar es salaam leo Septemba
16, 2015. Kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Ummy Mwalimu Mama
Monica Maeland, Waziri wa Biashara na Viwanda wa Norway. Kutoka kushoto
ni Mwakilishi wa YARA nchini Bw. Alexandre Macedo na Rais na Mtendaji
Mkuu wa YARA Bw. Svein Tore Holsether
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akitoka kukagua terminal ya mbolea ya kampuni ya
Norwaya ya YARA Kurasini jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015.
Kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Ummy Mwalimu Mama
Monica Maeland, Waziri wa Biashara na Viwanda wa Norway. Kutoka kushoto
ni Mwakilishi wa YARA nchini Bw. Alexandre Macedo na Rais na Mtendaji
Mkuu wa YARA Bw. Svein Tore Holsether
Mama Monica Maeland, Waziri wa Biashara na Viwanda wa Norway akihutubua katika sherehe hizo.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Ummy Mwalimu akimkaribisha Rais Kikwete kuhutubia
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati anafungua rasmi terminal ya
mbolea ya kampuni ya Norwaya ya YARA Kurasini jijini Dar es salaam leo
Septemba 16, 2015.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia sanamu ya meli aliyozawadiwa baada ya
kufungua rasmi terminal ya mbolea ya kampuni ya Norwaya ya YARA Kurasini
jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015. Kushoto ni Mama Monica
Maeland, Waziri wa Biashara na Viwanda wa Norway. Kutoka na katikati ni
Rais na Mtendaji Mkuu wa YARA Bw. Svein Tore Holsether