TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MATOKEO YA OPERESHENI GIBOIA II
Mkurugenzi
wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Hiiti Sillo akizungumza na waandishi wa
habari hawapo pichani juu ya Mamlaka ya Chakula na Dawa Nchini(TFDA) kwa kushirikiana na Jeshi la
Polisi imefanya operesheni katika maeneo 243 na kufanikiwa kukamata
bidhaa bandia na zile zilizomaliza muda wa kutumika ambapo zina thamani
zaidi ya shilingi milioni 135. katika mkutanono uliofanyika leo jijini
Dar es Salaam kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za Dawa wa Wizara ya Afya
na Ustawi wa Jamii, Henry Irund.
Naibu
Kamishina wa Polisi (DCI) Makao Mkuu ya Upelelezi na Jinai, Hezron Gyimbi
akuzungumza na wanahabari hawapo pichani juu ya Operesheni GIBOIA II iliyofanyika
sanjari katika nchi nane zilizopo kusini mwa jangwa la Sahara ambazo ni Afrika
Kusini, Zimbabwe, Malawi na Msumbiji. Operesheni GIBOIA II ameyasema hayo katika mkutano ulifanyika jijini
Dar es Salaam kulia ni Mkurugenzi
wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Hiiti Sillo.
Mkurugenzi
wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Mkurugenzi
wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Hiiti Sillo na wakionesha waandishi wa habari bidhaa bandia katika mkutano huo jijini Dar es Salaam.
Mkaguzi wa
Dawa Mwandamizi, Sonia Mkumbwa akiwaonesha
Bidhaa bandia katika mkutano jijini Dar es Salaam.
Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii.