MY ADVERT EA SHOWBIZ

MY ADVERT EA SHOWBIZ

SIX OFFICE SOLUTION

MOCHRISPO

DARDY FASHION

Sep 12, 2015

Tanzia: Aslay afiwa na mama yake mzazi


11906182_762897783815779_1139967047_n
Msanii wa muziki wa kundi la Yamoto Band, Aslay Isihaka amefiwa na mama yake mzazi aliyekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kisukari pamoja na presha. Meneja wa Yamoto Band, Said Fella amethibitisha kutokea kwa msiba huo.
“Ni kweli amefariki jana usiku alikuwa anaumwa, akakimbizwa hospitali, lakini alfajiri akafariki,” Fella ameiambia Bongo5.
“Kikubwa presha na kisukari. Amefariki katika hospitali ya Temeke. Ratiba rasmi itatoka, sasa hivi ni mapema sana.”