Gari
la mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji likilazimika
kugeuza na kurudi katika eneo walilokusanyika wananchi waliokuwa na kiu
ya kutaka ahutubie mkutano wa kampeni katika kijiji cha Kisumba Wilaya
ya Kalambo mkoani Rukwa
Gari
la mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji likilazimika
kugeuza na kurudi katika eneo walilokusanyika wananchi waliokuwa na kiu
ya kutaka ahutubie katika kijiji cha Kisumba.
Wananchi
wakiusindikiza msafara wa mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma
Haji Duni baada ya kuusimamisha katika kijiji cha Kisumba Wilaya ya
Kalambo mkoani Rukwa ili ahutubie mkutano katika kijiji hicho.

wakiusindikiza msafara wa mgombea mwenza wa Ukawa kupitiaChadema, Juma

Baadhi ya wananchi wakiwa juu ya mti ili kumuona mgombeamwenza wa Ukawa wakati akihutubia wakazi wa kijiji cha Kisumba Rukwa.