Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akilakiwa na maelfu ya wakazi wa mji wa
Kahama, leo Septemba 14, 2015.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwasalimia wananchi wa Mji wa Kahama.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiteta jambo na Mgombea Ubunge wa Ukawa
kupitia CHADEMA, Mh. James Lembeli, katika Mkutano wa Kampeni,
uliofanyika kwenye Uwanja wa Stendi mpya, Nyasubi, Kahama Mjini leo
Septemba 14, 2015.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akihutubia Mkutano wa Kampeni wa hadhara
wa kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Stendi mpya, Nyasubi, Kahama
Mjini leo Septemba 14, 2015.
Mwanasheria
wa CHADEMA, Mh. Tundu Lissu akihutubia Mkutano wa Kampeni za Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Stendi mpya,
Nyasubi, Kahama Mjini leo Septemba 14, 2015.
Mgombea
Ubunge wa Ukawa kupitia CHADEMA, Mh. James Lembeli, akihutubia Mkutano
wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika
kwenye Uwanja wa Stendi mpya, Nyasubi, Kahama Mjini leo Septemba 14,
2015.
Sehemu
ya Umati wa wananchi wa Mji wa Kahama, wakiwa wamefurika kwenye Uwanja
wa Stendi mpya, Nyasubi, Kahama Mjini leo Septemba 14, 2015, wakati wa
Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama
cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akimnadi Mgombea Ubunge wa Ukawa kupitia
CHADEMA, Mh. James Lembeli, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika
kwenye Uwanja wa Stendi mpya, Nyasubi, Kahama Mjini leo Septemba 14,
2015.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwanadi Wagombea wa Udiwaki wa Kata
mbalimbali za Kahama, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye
Uwanja wa Stendi mpya, Nyasubi, Kahama Mjini leo Septemba 14, 2015.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akipokea mfano wa funguo yenye ujumbe wa
"Mabadiliko", kutoka kwa Mgombea Ubunge wa Ukawa kupitia CHADEMA, Mh.
James Lembeli, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa
Stendi mpya, Nyasubi, Kahama Mjini leo Septemba 14, 2015.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwa ameinua juu mfano wa funguo.
Mdau
akijipoza kwa maji wakati akiwa kwenye Mkutao wa Kampeni za Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Stendi mpya,
Nyasubi, Kahama Mjini leo Septemba 14, 2015.